Karibu michongopodcast, leo tunaongelea kuhusiana na cryptocurrency tukiwa na mtaalaam wa blockchain Eng Kandenda balete akitufahamisha zaidi karibuni.
karibu katika sehemu ya tano ya tukiongelea uwekezaji katika hatifungani mgeni wetu ni afisa mtendaji wa exodus advisory Bw, Ramadhan Kagwandi akituelezea zaidi kuhusu uwekeza katika hatifungani.
Karibu katika episode ingine ya michongo podcast, katika season hii ya michongo ya uwekezaji tutakua tunaongelea uwekezaji faida fund tupo na afisa masoko Mr Obadia Erasto akituelezea zaidi kuhusu faida fund na jinsi ya kuwekeza.
Karibu michongo podcast, sehemu yetu ya kwanza inazungumzia elimu ya fedha kabla ya kuingia katika Uwekezaji, ni muhimu kujua elimu ya fedha tupo na mtaalamu ambaye ni Edmund Munyagi personal finance coach akitufahamisha kuhusiana na elimu ya fedha binafsi yani personal finance.
Tembelea tovuti yetu www.michongopodcast.com
kwa taarifa zaidi unaweza kusubcribe kupata maudhui zaidi kupitia link hapo chini
unaweza kutusurport kupitia Voda lipa namba 5859111