Our society has forced us to provide mostly than parenting our kids, we can’t blame PARENTS for whatever option they choose. But we can intentionally choose to give our kids the best Parenting we can.
With each others help we can make it happen
Kama unahisi uko peke yako na hakuna anayekuelewa katika hii safari ya malezi, Usijali niko/tuko hapa kukuaminisha Kwamba hauko peke yako.
Tuko apa kukwambia kwamba hii safari wote we can relate.
Tunawapenda watoto wetu sana sana, lakini pia kuna muda tunatamani kuelezea maumivu, uchovu, ugumu, confusion kama wazazi, na tueleweke bila kuonekana kwamba tunachukia wanetu, tunakufuru Mungu etc.