Watu wengi husubiri waache kazi ndio waanze biashara—lakini hiyo siyo lazima.
Katika episode hii ya newsletter, tunakuonyesha jinsi ya kuanzisha biashara kwa njia smart, ukiwa bado kwenye ajira yako ya sasa.
———
Subscribe kwa newsletters na video zaidi zinazokuandaa ku-achieve biashara ya ndoto zako.
Download free guide hapa: www.zillim.com
Jiunge na community ya Mjasi: linktr.ee/mcbenvics
Follow me on socials: Facebook | Instagram | LinkedIn | YouTube | TwitterX @mcbenvics
#Zillim #SmartHustle #BiasharaNaAjira #Mjasi #MarketingTanzania
Unahangaika na biashara haitembei? Tatizo sio bidhaa yako. Tatizo ni hujamchagua mteja wako mmoja wa nguvu.
Kwenye video hii, nakufundisha kwa lugha ya mtaa na ujasiriamali jinsi ya kumchagua yule mteja mmoja ambaye akiingia kwenye biashara yako – ushatoboa. Huyu ndiye atakayeleta pesa, ataelewa thamani yako, na atakurudisha kwa wateja wengine.
Ukiweza kumserve huyu mmoja vizuri, biashara yako itakuwa na direction, content yako itagusa moyo, na sales zako zitaongezeka.
Utajifunza:
Jinsi ya kuepuka kufanya biashara kwa kila mtu (na kwa hivyo, kwa hakuna mtu)
Njia rahisi ya kumjua “mteja bora” kwa biashara yako ya sasa
Hatua za kuchukua ili kuanza kumvutia mteja wako mmoja mara moja
Kama unataka kuuza bila kuomba-omba, hii video ni kwa ajili yako.
Zillim ni kwa ajili ya Mjasi kama wewe – unayetaka kufanya kazi kwa akili, sio kwa nguvu.
Subscribe kwa tips zaidi
📌 Comment “#MtejaMmoja” kama umeelewa strategy
📥 Tembelea zillim.com kupata tools za bonus
#BiasharaMtandaoni #Ujasiriamali #Zillim #MjasiriamaliMtaani #MtejaMmoja #MarketingTanzania
Are you a Young Business owner or Entrepreneur Join the Podcast whatsapp Group
Kwa Nini Personal Branding Ni Muhimu kwa Mafanikio Yako ya Biashara?
Unajua kwanini wateja wengine wanakupita hata kama una bidhaa au huduma bora? 🤔 Siri ni Personal Branding! Katika video hii, nitakueleza jinsi ya:
✔️ Kuvutia wateja kwa urahisi
✔️ Kujitofautisha sokoni
✔️ Kujenga uaminifu na uhusiano wa kudumu
📢 Usikose nafasi ya kujifunza zaidi! Jiandikishe kwenye Personal Branding Masterclass yetu sasa na ubadilishe maisha yako ya kitaaluma.
👉 Bonyeza hapa kujiunga: tr.ee/Mm-uvlhK0u
🌟 Personal Branding = Wateja Zaidi
#PersonalBranding #BiasharaMtandaoni #Mafanikio #ZillimAcademy
Unahitaji msaada kujifunza au kutangaza Biashara yako? Nicheck tr.ee/Mm-uvlhK0u
follow me on instagram @mcbenvics
Karibu katika program tunayoshirikiana na na wewe, kukufunza na Kutangaza Biashara yako mtandaoni