Je, umewahi kujikuta ukitafuta majibu, kutafuta mwongozo, au kujiuliza ikiwa kuna jambo jipya zaidi? Itakuwaje nikikuambia kwamba majibu unayotafuta yanakungoja mahali ambapo hupadhanii kabisa - kwenye Biblia? Karibu kwenye Qaval Hearing Gods Voice, podicast ambayo itakupeleka kwenye safari ya mageuzi ili kuelewa na kupata uzoefu wa mafundisho ya Mungu kuliko hapo awali.
All content for Hearing Gods voice( Sikia sauti ya Mungu) is the property of Francis Kessy and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Je, umewahi kujikuta ukitafuta majibu, kutafuta mwongozo, au kujiuliza ikiwa kuna jambo jipya zaidi? Itakuwaje nikikuambia kwamba majibu unayotafuta yanakungoja mahali ambapo hupadhanii kabisa - kwenye Biblia? Karibu kwenye Qaval Hearing Gods Voice, podicast ambayo itakupeleka kwenye safari ya mageuzi ili kuelewa na kupata uzoefu wa mafundisho ya Mungu kuliko hapo awali.
Watu wanaweza kukupuuzia as if hauonekani, but believe me theres a God called the father of all spirits , He can walk to any spirit at night in the dream na akampa maelekezo juu ya nini cha kufanya!
Tumia vizuri ulimi wako, maana umebeba nguvu mbili, uhai na kifo! Stop cursing yourself and the people around you!your current situation ni matokeo ya maneno uliyoongea jana!
Mwezi wa pili ni mwezi wa kutoka(The month of going out) ! Things must change in your life! The prophetic word is a weapon , it becomes ineffective kama hutotumia the word kwenye maisha yako, tumia neno la kinabii kupataa matokeo! Be blessed and would love to hear you testimonies text us your testimonies via 0712074435 (whatsapp) !SHALOM
“*NCHI IKAMSAIDIA* mwanamke; nchi ikafunua kinywa chake, ikaumeza mto ule alioutoa yule joka katika kinywa chake.”
Ufu 12:16 SUV
As long as tunaishi duniani, dunia inauwezo wa kutusaidia in every aspect!Biblically dunia ilimsaidia mtu na inaskia, Ndani ya episode hii utajifunza jinsi ya kuicommand dunia ikusaidie!
Anointing/upako ni nguvu ya Mungu itendayo kazi!binadamu wote tunabaki kuwa sawa ili kinachotufautisha ni upako(anointing).ili uweze kufanikiwa kwenye kazi uliyopewa hapa ulimwenguni ni lazima uwe na upako!Upako ni ulinzi,kwenye episode hii utajifunza na kuongozwa namna utakavyoweza kupata upako na jinsi maisha yako yatakavyobadilika na kua na manufaa!Kama bado hujaanza kugusa maisha ya watu bado hujaanza kuishi maisha!
Malango ni njia inayotumiwa na Mungu kuleta ama ku access mtu akiwa kwenye ulimwengu huu, milango inapokua inafungwa baraka zinabaki mlango bila kukufikia!Kwenye hii podcast utafunguka na kuelewa juu ya siri ya malango na kukuongoza katika maombi ambayo yatabadilisha maisha yako!
Kumekua na wimbi kubwa la uteja hasa kwa vijana(addiction),imewafanya vijana wengi kupoteza uhuru wao ama nguvu ya kutawala!Katika hii podcast utakutana na nguvu itakayokutoa kwenye uteja uliokufunga kwa muda mrefu na kukufanya uwe huru na mwenye mamlaka kama muumbaji wako atakvyo!Muda wako ni sasa!