Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Business
Society & Culture
Health & Fitness
Sports
Technology
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Podjoint Logo
US
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts116/v4/76/84/7b/76847b69-344c-5b15-122a-1e4a68ec949b/mza_11651691001147256006.jpg/600x600bb.jpg
Eleven Digital The Podcast
Leonce Godfrey
27 episodes
4 days ago
Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies. This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.
Show more...
Tech News
News
RSS
All content for Eleven Digital The Podcast is the property of Leonce Godfrey and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies. This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.
Show more...
Tech News
News
Episodes (20/27)
Eleven Digital The Podcast
Neuralink & AI: Mustakabali wa Binadamu ni Upi?
Kama ungepewa nafasi ya kuunganisha akili yako moja kwa moja na kompyuta ungekubali? Teknolojia ya Neuralink imeleta uwezekano huo… lakini gharama yake ni ipi? Je, ni uwezo zaidi au ni udhibiti zaidi katika maisha ya binadamu? 🎧Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza. Jibu hilo liko kwenye episode yetu mpya hosted by @jackline_mgina & @maria_ukhotya 🎬 Producer: @ombloxgenius Follow us: 📲 Instagram: @eleven_digital255 📘 Facebook: @eleven_digital255 🔗 LinkedIn: @eleven_digital255 #TechTrends2025 #ElevenDigitalThePodcast #AkiliBandia #Neuralink #FutureTalks #DigitalAfrica
Show more...
6 months ago
4 minutes 30 seconds

Eleven Digital The Podcast
"Fursa za Teknolojia 2025: Ujuzi Wa Kidijitali Utakaokufungulia Milango"
Fursa za Teknolojia 2025: Ujuzi wa kidijitali kutoka AI hadi Cybersecurity, tunachambua mustakabali wa kidijitali na fursa zake. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Jackline Francis & Maria Ukhotya Producer Jeremiah Ombelo Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255 #TechTrends2025 #ElevenDigitalThePodcast"
Show more...
7 months ago
9 minutes 15 seconds

Eleven Digital The Podcast
Wanawake, Mapinduzi Na Teknolojia: Mahojiano Maalum na Asha Abinallah
Katika #ElevenDigitalThePodcast, tunazungumzia nafasi ya wanawake katika teknolojia, changamoto wanazokutana nazo, na jinsi ya kuwawezesha zaidi. Je, jamii inaweza kufanya nini kusaidia wasichana wengi zaidi kuingia kwenye teknolojia? Sikiliza podcast yetu kwa maarifa na msukumo zaidi! 🎙️ #WomenInTech #DigitalRevolution 📲 Instagram | Facebook | LinkedIn: @eleven_digital255
Show more...
7 months ago
7 minutes 18 seconds

Eleven Digital The Podcast
Teknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali

Teknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali


Kupitia mazungumzo haya, tunachunguza jinsi teknolojia ya 5G inavyochochea mapinduzi ya kidijitali na kuunda msingi wa mabadiliko makubwa katika mawasiliano, biashara, na maisha yetu ya kila siku.


🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza


Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph


Producer Owen Bariki.


Instagram: eleven_digital255

Facebook: eleven_digital255

LinkedIn: eleven_digital255

Show more...
1 year ago
11 minutes 20 seconds

Eleven Digital The Podcast
Kuwa Mtaalamu Wa Mitandao Ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako

Mitandao ya kijamii ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku.Ni muhimu kutumia njia salama kwa kuweka nywira tofauti kwa kila akaunti.

Episode hii tutaanganzia Namna ya Kuwa Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako





🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza


Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph


Producer Owen Bariki.


Instagram: eleven_digital255

Facebook: eleven_digital255

LinkedIn: eleven_digital255

Show more...
1 year ago
19 minutes 10 seconds

Eleven Digital The Podcast
Tambuwa Barua Pepe Za Ulaghai (Phishing Emails)
Tambuwa barua pepe za ulaghai (phishing emails) Katika episode hii, utajifunza jinsi ya kutambua barua pepe za ulaghai, Sikiliza leo na ujifunze jinsi ya kulinda taarifa zako za kibinafsi na pesa zako kutokana na ulaghai wa mtandaoni! (Tuma kwa namba hii wamehamia kwenye email 🤣🤣🤣) Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
1 year ago
12 minutes 50 seconds

Eleven Digital The Podcast
Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu
Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu Karibu kwenye ulimwengu wa mshangao na uvumbuzi! Kupitia podcast yetu, tumechimba kina kwenye jinsi Virtual Reality inavyotikisa msingi wa maisha yetu. Tunaangazia jinsi teknolojia hii inavyobadilisha uhalisia, kutufanya tuone ulimwengu kupitia macho mapya, na kuleta mageuzi katika njia tunavyoshirikiana na mazingira yetu. Ni safari ya kipekee ya kugundua uwezekano wa hali ya juu na kushuhudia mabadiliko ambayo yanavuta nyuzi za maisha yetu. Jiunge nasi kwenye Episode hii, tuchimbue pamoja kina cha Virtual Reality, na ujiandae kushangaa na mshangao wa teknolojia inayobadilisha maisha. Maisha bora yanakungoja! Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
1 year ago
12 minutes 2 seconds

Eleven Digital The Podcast
Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia.
Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia. Leo, tutajadili mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kutengeneza maudhui ya kimtandao ambayo yatavutia wasomaji wako na kuwafanya waweze kuchukua hatua. Kujenga maudhui ya kimtandao yenye nguvu na yenye kuvutia ni muhimu sana katika ulimwengu wa leo unaoshiba habari. Ndiyo sababu, katika Episode hii, tutakupa mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuanza na maudhui ya kimtandao yenye nguvu. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
1 year ago
10 minutes 54 seconds

Eleven Digital The Podcast
Application Ambazo Hutakiwi Kukosa Kama Unafanya Biashara
Application ambazo hutakiwi kukosa kama unafanya biashara Kuna application nyingi ambazo upo nazo kwenye simu yako lakini wewe kama mfanyabiashara karibu nikuambie application ambazo kama unataka kufanikiwa uwezi kuzikosa kwenye simu. Katika Episode hii Tutachunguza application Tano kwa undani jinsi gani zitarahisisha utendaji wa biashara, na pia kuboresha ufanisi, mawasiliano, na matokeo ya kifedha. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
1 year ago
12 minutes 16 seconds

Eleven Digital The Podcast
Application Tano Bora Za Ku-Edit Video
Mfanyabiashara au mtu wa kawaida lakini unataka kuwa na video nzuri kitika mitandao yako ya kijamii. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit video zako. Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
1 year ago
10 minutes 43 seconds

Eleven Digital The Podcast
Tumia Application Hizi Kuediti Picha Zako
Wewe ni kijana au mfanyabiashaa? unapenda kupiga Picha nzuri na unatamani zivutie lakini unashindwa kiediti. Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit Picha zako. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph Producer Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
1 year ago
9 minutes 8 seconds

Eleven Digital The Podcast
Application tano ambazo zinatoa remote jobs au kazi za freelencing
Hivi unafahamu kama Kuingia mtandaoni unakuwa upo kwenye ulimwengu wa fursa zisizo na mwisho. Katika toleo hili utajifunza tovuti na programu ambazo zinatoa fursa za kazi za mbali (remote jobs) au freelancing, nataka nikupatie Tano ambazo unaweza kuzitumia katika kuuza ujuzi wako mtandaoni. 🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
2 years ago
6 minutes 11 seconds

Eleven Digital The Podcast
Makosa Tano ya kimtandao yanayoweza kusababisha mashtaka nchini Tanzania.
Mara kwa mara tumekua tukisikia kuhusu ya makosa ya mtandaoni lakini je, tunayajua? Haya ni makosa Tano ya kimtandao yanayoweza kusababisha mashtaka nchini Tanzania. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
2 years ago
6 minutes 41 seconds

Eleven Digital The Podcast
Tips tano za kuepuka kuwa hacked kwenye simu na laptop.
Elimu ndio inayokosekana kati ya watumiaji wengi wa majukwaa ya kidigitali na kusababisha hasara, kudukuliwa na upotevu wa taarifa na data walizoweka mtandaoni. Katika episode hii, nimekuandalia tips Tano za kufanya Ili wadukuzi wasiweze kupata taarifa zako kwenye simu na laptop. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
2 years ago
6 minutes 16 seconds

Eleven Digital The Podcast
Fahamu Instagram insights
Katika Episode hi nimekuwekea mambo ambayo ni muhimu kuyafahamu kuhusu Instagram wewe kama mfanyabiashara. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
2 years ago
6 minutes 28 seconds

Eleven Digital The Podcast
Fahamu VPN Tano bora za kuzitumia ili kulinda taarifa zako.
Unataka kuficha utambulisho wako ukiwa mtandaoni? Je unataka usiache alama (digital footprint) pale unapotumia mitandao?. Sasa hapo ndio VPN inapokuwa muhimu sana. Katika Episode hi nakulete VPN 5 ambazo ni bora na ningependa uwe unazitumia Ili kukulinda na kukufanya uwe salama pale unapokuwa mtandaoni. Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
2 years ago
6 minutes 19 seconds

Eleven Digital The Podcast
FAHAMU KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII
Katika Episode hi ya Pili tutachunguza ukweli usiojulikana na mambo ya kushangaza kuhusu mitandao ya kijamii ambayo ni faida kwa wafanyabiashara na watu wengine wanaotumia mitandao hiyo. Unataka kujuwa nimekuandalia nini kaa nami nikufungulie pazia la siri hizi za mitandao ya kijamii Karibu sana! Produced and Hosted By Owen Bariki. Instagram: eleven_digital255 Facebook: eleven_digital255 LinkedIn: eleven_digital255
Show more...
2 years ago
4 minutes 34 seconds

Eleven Digital The Podcast
Akili Bandia (A.I) Ambazo Unapaswa Uzifahamu.
Katika Episode hi ya Kwanza tumewaletea Akili bandia Tano ambazo ni muhimu Kwa wafanyabiashara, wanafunzi na watu wa kawaida kuzifahamu na kuzitumia kwani zinarahisisha kazi mbalimbali za mwanadamu. Produced and Hosted By Owen Bariki.
Show more...
2 years ago
8 minutes 48 seconds

Eleven Digital The Podcast
Unyasasaji Wa Mtandaoni Unaoneka Vipi? | Na Neema Loth
Katika episode hii, Neema Loth ametueleza kwa undani vile unyanyasaji wa kimtandao unavyokuwa na kufanyika katika majukwaa mbalimbali ya kidigitali Tanzania.
Show more...
2 years ago
10 minutes 20 seconds

Eleven Digital The Podcast
Je, Usajili Wa Laini Za Simu Umepunguza Matukio Na Makosa Ya Kimtandao?
Katika kipindi cha karibuni, kumekuwa na kampeni za uhakiki wa laini na namba za simu ili kuthibiti uhalifu unaofanyika kwa kutumia namba hizo mtandaoni. Je, lengo limefikiwa? Na haya ni maoni ya wananchi kuhusu usajili wa laini za simu na namba zake.
Show more...
2 years ago
13 minutes

Eleven Digital The Podcast
Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies. This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.