Ripoti ya maandamano yaliyojiri tarehe 30/10/2025
Ripoti ya maandamano yanayoendelea nchini Tanzania. Hii ni ripoti kuhusu yaliyojiri 29/10/2025
Habari Njema kwa Tundu Lissu
Balozi Humprey Polepole Afichua SIRI Nzito
Kitendo cha baadhi ya masista wa kanisa katoliki kuonekanakwenye kampeni za CCM wakiwa wamembeba bendera za chama hicho pamoja na picha za mgombea wake wa urais wa chama hicho Samia Suluhu Hassan, kimepelekea mtafaruku mkuu ndani ya Kanisa Katoliki
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu amekataa ofa ya serikali kwamba akubali kwenda kuishi uhamishoni kama sharti la kumfutia kesi ya uhaini waliyombambikia.
Maafisa Usalama Wanne Wa TANZANIA Wakamatwa Marekani, Walienda Kudhuru Wakosoaji wa Serikali na Wanaokisapoti Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Tundu Lissu
Makala hii exclusive inaeleza kuhusu mpango kabambe unaoendelea kuhakikisha Mwenyekiti mpya wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu hafanikiwa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Awali Mheshimiwa Lissu alishatangaza nia ya kuwania urais, japo hajatamka tena baada ya kushinda uenyekiti wa taifa wa chama hicho kikuu cha upinzani.
Otherwise, albamu ya #Jasusi iitwayo #JasusiTheAlbum Volume One sasa inapatikana Spotify, Apple Music, Amazon Music, YouTube Music, TikTok, Instagram, Facebook, Snapchat,nk. Kwa maelezo zaidi, tembelea https://jasusi.com Pia, usisubiri hadi utekwe na #WatuWasiojulikana ndio ukumbuke kwamba Jasusi aliandika kitabu maalum cha Mwongozo wa Hatua za Kuchukua Pindi Ukibaini Kuwa Maisha Yako Yapo Hatarini (au hatua za tahadhari hata kama maisha yako hayapo hatarini). Pata kopi yako hapa https://jasusi.com/mwongozo
S02E04: Maongezi na Mtangazaji Maarufu wa Wasafi Media Charles William
Charles anajibu maswali haya
1. Charles William ni nani
2. Nini kilikuvutia kuingia kwenye fani ya habari
3. Changamoto gani ulizokumbana nazo katika safari yako hadi kufikia ulipo, na zipi zilizopo sasa
4. Wewe sio tu ni mmoja ya watangazaji maarufu Tanzania bali ni mmoja wa watu maarufu Tanzania. Je zipi ni faida za umaarufu huo. Na Je kuna hasara za umaarufu huo kama yes, ni zipi?
5. Mwisho, kama kijana na role model kwa vijana wenzio, una ushauri gani kwao hususan kwa wale wenye ndoto za kufikia sehemu kama uliyopo sasa.
TANGAZO: Pata kopi za vitabu "Ujasusi Ni Nini na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa (Sh 45,000/=) na "Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani na Anafanya Nini?" (Sh 20,000/=). Free delivery Dar, mikoani delivery sh 5,000/= kwa kila kitabu. M-Pesa 0767340975 jina Anna
Kwa walio nje ya Tanzania, vitabu vinapatikana hapa https://go.chahali.com/spybooks
S02E03: Uchambuzi kuhusu kuuawa kwa Haniyeh huko Irani, na vurugu kubwa nchini Uingereza
Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi wa fedha za serikali, Waziri wake wa Fedha (Mwigulu) adai hakuna wizi serikalini, Waziri Mchengerwa adai huo ni wizi wa "zama za JPM" 🤔