All content for Ze GAHAWA is the property of Official Maftah and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
#Why I need therapy..? Maumivu yanaweza kukufanya kuwa mtuu watofauti kabisa na ulivyo kua zamani mtu mzuri au mtu mmbaya yote yanategemea na wew jinsi ulivyo yapokea maumivu yale Tiba ya maumivu yangu mimi nikufanya kazi kwa juhudi ilikufikia ndoto zangu ili iwe funzo zuri kwa wote walio niumiza