Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.
All content for Yesaya Software Podcast is the property of Yesaya R. Athuman and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.
Mambo ya Kuzingatia kwenye Kuamua kutengeneza Multi/Cross Platform
Yesaya Software Podcast
7 minutes 42 seconds
4 years ago
Mambo ya Kuzingatia kwenye Kuamua kutengeneza Multi/Cross Platform
Leo tunakwenda kujadili kidogo kuhusu path niliyochukua kutengeneza cross platform apps, hapa ninamaanisha Android and iOS App. Kutokea awali nimekuwa mzito sana kudevelop apps ambazo sio native yaani sio specific kwa Android na iOS.
Nina imani toleo hili litakuwa msaada pia kwa wadau mbalimbali wa TEHAMA kujua technolojia zinazohusika kutengeneza Mobile Apps.