Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.
All content for Yesaya Software Podcast is the property of Yesaya R. Athuman and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.
Content ya kuweka kwenye mtandao na kupata traffic kubwa
Yesaya Software Podcast
7 minutes 34 seconds
4 years ago
Content ya kuweka kwenye mtandao na kupata traffic kubwa
Kwenye toleo hili ni sehemu ya majadiliano kwenye Twitter Spaces na nilijadili na wadau niweke content ya aina gani kwenye mtandao ili niweze kupata traffic.
Pia tulizungumza mambo ya kuzingatia kwenye kufanya option ya Voice chat (Twitter Spaces na Clubhouse), Livestream na Podcast. Ungana nasi sasa kusikiliza toleo hili na usiache kuingia pale Twtter @yesayasoftware