All content for Utawezana? Podcast is the property of Utawezana? Podcast and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
.Hapa Tunauliza Maswali Kumi Ya Muziki Wetu Huu Wa Bongo Fleva.
Je Utawezana?
Mtatusamehe Sana Kama Studio Ilikuwa Kwenye Ukarabati Wa Na Ndo Maana Misumari Nyundo Na Sauti Za Mafundi Zinasikika. Kwenye Episode Hii Ambayo Ndo Inatamatisha Hii Season, Nimekutana Na Jamaa Mmoja Hivi Bonge La Bwana Yaaani Anaitwa Sunny Na Kama Tulivyoanza Kwenye Episode 1 Basi Tunamaliza Kwa Kumuuliza Kijana huyu Maswali Kumi Ya Kimuziki. Je Ataweza? Uhakika Sina Sana Ila Kikubwa Cha Kusisitiza Ni Kuwa Wasanii wengi Sana Wametajwa Humu Kuanzia Alikiba Fally Ipupa Rich Mavoko Diamond Na Watu Wengine Kibao! Tafadhali Sana Subscribe!
Utawezana? Podcast
.Hapa Tunauliza Maswali Kumi Ya Muziki Wetu Huu Wa Bongo Fleva.
Je Utawezana?