Ni kitabu kinachohusu MALEZI ya kuwalea watoto kuja kuwa vijana mashughuli napo baadae. Na pia kinafundisha na na ya kukabiliana na changamoto na hasa linapokuja suala la malezi baada ya kutalikiana.
All content for Think Big - Nyanzala Kilima is the property of Nyanzala Kilima and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Ni kitabu kinachohusu MALEZI ya kuwalea watoto kuja kuwa vijana mashughuli napo baadae. Na pia kinafundisha na na ya kukabiliana na changamoto na hasa linapokuja suala la malezi baada ya kutalikiana.
Get The Guy by Matthew Hussey kimechambuliwa na Nyanzala Kilima
Think Big - Nyanzala Kilima
10 minutes 34 seconds
5 years ago
Get The Guy by Matthew Hussey kimechambuliwa na Nyanzala Kilima
Get The Guy ni kitabu kinachotufunza namna ya kupata Mwanaume wa maisha yako. Ni kitabu kinachofichua Siri na tabia za wanaume. Na uzuri ni kwamba kitabu hiki kimeandikwa na mwanaume hivo basi ameelezea kiundani kabida tabia zao wao kama jamii ya kiume.