Ni maarufu kwa jina la Sheikh Kipozeo ikiwa jina lake halisi ni Hilali Makarani tulipata wasaa wa kupiga nae stori kutokea mezani kwetu kupata madini juu ya mambo mbalimbali.
Hakika kwa dakika chache tulizokuwa nae tumepata mawili matatu ya kuzingatia kama elimu kutoka kwa wakongwe kama Sheikh Kipozeo.
Kwenye epsode hii ya leo nimefanya mazungumzo na kundi la Men's Talk na majadiliano yetu yalilalia upande wa namna ya kutimiza malengo na kuweka akiba ilikufikia mafaniko.
Karibu kusikiliza ili kujifunza na kukuamsha kwenye haraka za kufikia malengo yako.