Karibu katika Podcast ya Swahili Tech ambapo utafahamu mengi kuhusiana na Teknolojia, social media, applications, simu, na vifaa tunavyotumia kila siku katika maisha yetu. Karibu sana na usiache ku-subscribe ili uoate infos kali.
All content for Swahili Tek is the property of Apollo and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Karibu katika Podcast ya Swahili Tech ambapo utafahamu mengi kuhusiana na Teknolojia, social media, applications, simu, na vifaa tunavyotumia kila siku katika maisha yetu. Karibu sana na usiache ku-subscribe ili uoate infos kali.
Microsoft amefanya maboresho kwenye emails za Outlook
Swahili Tek
6 minutes 42 seconds
5 years ago
Microsoft amefanya maboresho kwenye emails za Outlook
Microsoft ameamua kufanya maboresho kwenye Outlook ili kuweza kupambana na soko la email hasa ukilinganisha Gmail mwaka huu pia ilifanyiwa maboresho na Google katika kuipa nafasi nzuri ya kiushindani katika kipindi hiki ambacho watu Google na Microsoft zinashindana kuhakikisha zinapata watumiaji wengi.
Maboresho hayo ni kuzuia "Reply to all" isilete kero endapo ukiwa kwenye email yenye watu wengi; Outlook mails zitaweza kutuma email baadae kutokana na muda utakaopendelea (Send Later option); na pia Outlook inaweza kukupa mawazo ya sentensi za kujibu kuendana na email ilivyo ili ikurahisishie kujibu email haraka endapo ukiwa una shughuli nyingine za kufanya.
Endelea kufuatilia Podcast hii ya Swahili Tek kupata taarifa nyingi na updates mbalimbali za Teknolojia. Karibu sana!!!