Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
History
Fiction
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts115/v4/fd/ee/1a/fdee1afb-232c-158d-f728-70b489183e66/mza_8350944664688333027.jpg/600x600bb.jpg
Sheria Poa Podcast
Privaty Rugambwa
18 episodes
2 days ago
Sheria Poa, ni kipindi ambacho tunaongelea maswala mbalimbali ya jamii kwa mtazamo wa sheria na kwa lugha nyepesi kabisa na ya kiurafiki, ni kipindi cha kufundisha na kusaidia kwa watu wa aina zote.
Show more...
Education
RSS
All content for Sheria Poa Podcast is the property of Privaty Rugambwa and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Sheria Poa, ni kipindi ambacho tunaongelea maswala mbalimbali ya jamii kwa mtazamo wa sheria na kwa lugha nyepesi kabisa na ya kiurafiki, ni kipindi cha kufundisha na kusaidia kwa watu wa aina zote.
Show more...
Education
https://d3t3ozftmdmh3i.cloudfront.net/production/podcast_uploaded_nologo/13276231/13276231-1626169007566-7d2545020ee0a.jpg
Unyanyasaji wa Kingono kwenye Sehemu za Kazi
Sheria Poa Podcast
44 minutes 46 seconds
4 years ago
Unyanyasaji wa Kingono kwenye Sehemu za Kazi

Sheria ya kazi na mahusiano ya kazi ya mwaka 2004 kama ilivyofanyiwa maboresho mwaka 2019, imezungumzia kidogo sana juu wa unyanyasi wa kingono kwenye sehemu za kazi. Sheria imeweka unyanyasaji wa kingono chini ya makundi au aina ya ubaguzi mahala pa kazi na hivyo kuonekana kama ni tatizo dogo sana kwenye eneo la kazi na mahusiano ya kazi. Kumekuwa na matatizo mengi sana juu ya tatizo hili la unyanyasaji wa kingono kazini, watu wengi sana wamekuwa wakinyanyaswa na watu mbalimbali ikiwemo waajiri au hata wafanyakazi wenzao na hivyo kusababisha matatizo makubwa sana kwao ikiwemo msongo wa mawazo.

Katika kipindi chetu cha leo kama ilivyo ada, tupo na Dada Chiku Semfuko, ambaye ni Mwanataaluma kwenye maswala ya kinjisia. Chiku amebahatika kufanya kazi sehemu mbalimbali juu ya maswala ya kazi hususan masuala ya unyanyasaji wa kingono kazini. Katika kipindi chetu cha leo tunazungumza nae kinagaubaga juu ya swala hili, ukubwa wa tatizo na nini kifanyike kuweza kupunguza tatizo hili kwenye jamii yetu kwa ujumla.

Kuhusu watoa mada;

Chiku Semfuko 

https://tz.linkedin.com/in/chiku-mariam-semfuko-04907b73

Privaty Rugambwa

https://tz.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a

Kupakua Sheria ya kazi na Mahusiano Kazini;

https://www.ilo.org/dyn/natlex/docs/ELECTRONIC/68319/104204/F-894240970/TZA68319.pdf