
Swala la ubakaji ndani ya ndoa; yaani mume kumbaka mke wake, ni tatizo kubwa sana duniani. Suala hili pia limekuwa likiwatokea wanandoa wengi sana Tanzania na hivyo kuibua maswali mengi sana juu ya sheria zetu katika suala hili, na wengi wamekuwa wakiuliza kama ndoa ni kibali au leseni ya kubaka (whether marriage is a licence to rape)
Kwenye mada hii leo tupo na Wakili Msomi Victor Mwakimi, Wakili Msomi Andrew Manumbu na Dada Carol Manyama. Tukiangalia kwa undani suala zima la ubakaji ndani ya ndoa na kama kwa sheria zetu za Tanzania swala hili linaweza likajitokeza na endapo likijitokeza nini haswa kinatakiwa kifanyike kuhakikisha vitendo hivi vinakomeshwa mara moja.
Unaweza kupata sheria:
https://rita.go.tz/eng/laws/History%20Laws/Marriage%20Ordinance,%20(cap%2029).pdf
Sheria ya Kanuni za Adhabu