
Kwenye Kipindi cha leo tupo na Mawakili Wasomi, Deogratius Bwire pamoja na Nuru Maro wakitupitisha katika Sura ya Pili ya Katikba ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, hususani kwenye Muundo wa Serikali ya kwa mujibu wa katiba hii na madaraka ya Rais. Mawakili wasomi wanatuelezea kwa kina, muundo wa serikali hii na changamoto zilizopo kwenye muundo huu wa serikali na mapendekezo yao ya nini kifanyike kwenye mchakato wa katiba mpya ili kuboresha muundo huu na madaraka ya Rais kwa ujumla. Kama unapenda tunachokifanya, tuwezeshe kupitia Lipa Namba TigoPesa - 8212862 Subscribe kwenye chaneli yetu: / @uctr2i2xphlapb71... Sikiliza Podcast yetu kupitia: Apple Podcast link: https://apple.co/3ZwLmSA Spotify: http://bit.ly/40v0UYd Google Podcast Link: http://bit.ly/3zm0irZ Audiomack Link: https://audiomack.com/sheriapoa Youtube Link: / @sheriapoa #SheriaPoa #SheriaPoaPodcast #katiba #katibampya #sheria