Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
History
Fiction
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts115/v4/fd/ee/1a/fdee1afb-232c-158d-f728-70b489183e66/mza_8350944664688333027.jpg/600x600bb.jpg
Sheria Poa Podcast
Privaty Rugambwa
18 episodes
2 days ago
Sheria Poa, ni kipindi ambacho tunaongelea maswala mbalimbali ya jamii kwa mtazamo wa sheria na kwa lugha nyepesi kabisa na ya kiurafiki, ni kipindi cha kufundisha na kusaidia kwa watu wa aina zote.
Show more...
Education
RSS
All content for Sheria Poa Podcast is the property of Privaty Rugambwa and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Sheria Poa, ni kipindi ambacho tunaongelea maswala mbalimbali ya jamii kwa mtazamo wa sheria na kwa lugha nyepesi kabisa na ya kiurafiki, ni kipindi cha kufundisha na kusaidia kwa watu wa aina zote.
Show more...
Education
https://d3t3ozftmdmh3i.cloudfront.net/production/podcast_uploaded_nologo/13276231/13276231-1626169007566-7d2545020ee0a.jpg
Haki za wanyama wafugwao majumbani Tanzania
Sheria Poa Podcast
31 minutes 9 seconds
4 years ago
Haki za wanyama wafugwao majumbani Tanzania

Sikuhizi imekuwa ni kitu cha kawaida kuona nyumba au watu wakifuga wanyama mbalimbali kama mbwa au paka kama wanyama rafiki, kwa ajili ya majumbani kwa ilinzi au tu kama marafiki. Pia imekuwa ni kama desturi kuona vijana wakiwa wanauza wanyama hawa barabarani au sehemu mbalimbali kwenye miji mbalimbali Tanzania. Kumekuwa na maswali mengi sana kutoka kwa wadau na kwenye mitandao juu ya haki za wanyama wafugwao majumbani na wajibu ya watunza wanyama hawa. 

Katika kipindi cha leo, watoa mada wetu leo ni Mawakili Wasomi Ndugu Privaty Rugambwa, na Emmanuel Bakilana wamefanya tafiti juu ya haki za wanyama hawa wafugwao majumbani na katika kipindi cha leo tutapata kujua haki za wanyama hawa na wapi kama jamii tunafanya makosa.

Kujua zaidi kuhusu wawasilishaji;

Deodatus Tesha;

https://tz.linkedin.com/in/deo-tesha-32545776

Privaty Rugambwa;

https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/

https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/

Emmanuel Bakilana;

https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123

Kupakua sheria na nyaraka;

https://www.mifugouvuvi.go.tz/uploads/publications/sw1595835544-Animal%20Welfare%20Act%202008.pdf

https://www.mifugouvuvi.go.tz/uploads/publications/sw1595837886-SERA%20YA%20MIFUGO.pdf