Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Business
Society & Culture
History
Sports
Health & Fitness
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts116/v4/b5/bc/68/b5bc6833-83c5-5236-eba9-d14234b794b2/mza_494584151187748262.jpg/600x600bb.jpg
SHADOTUBE
DENIS L. NTABULUGWA
22 episodes
3 days ago
Karibu kwenye Podcast yangu! Nimeanzisha podcast hii kwa madhumuni makuu matatu muhimu: Kwanza, ni jambo ninalopenda kufanya. Pili, ni kwa lengo la kuwasaidia wengine. Tatu, ni kwaajili ya kufikia malengo makuu maishani. Popote ulipozaliwa au kukulia, nitakusaidia kupitia ujuzi wote niliojifunza na kufundishwa na wengine. Lengo langu ni kukusaidia kutimiza mahitaji yako, mipango yako, na ndoto zako katika ulimwengu wa teknolojia - kupitia maudhui ya video na sauti yenye ubora. Nimekuwa nikijifunza namna ya kuwasaidia wengine tangu udogo wangu, na baada ya kupitia changa moto nyigi.
Show more...
Self-Improvement
Education
RSS
All content for SHADOTUBE is the property of DENIS L. NTABULUGWA and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Karibu kwenye Podcast yangu! Nimeanzisha podcast hii kwa madhumuni makuu matatu muhimu: Kwanza, ni jambo ninalopenda kufanya. Pili, ni kwa lengo la kuwasaidia wengine. Tatu, ni kwaajili ya kufikia malengo makuu maishani. Popote ulipozaliwa au kukulia, nitakusaidia kupitia ujuzi wote niliojifunza na kufundishwa na wengine. Lengo langu ni kukusaidia kutimiza mahitaji yako, mipango yako, na ndoto zako katika ulimwengu wa teknolojia - kupitia maudhui ya video na sauti yenye ubora. Nimekuwa nikijifunza namna ya kuwasaidia wengine tangu udogo wangu, na baada ya kupitia changa moto nyigi.
Show more...
Self-Improvement
Education
https://d3t3ozftmdmh3i.cloudfront.net/production/podcast_uploaded_nologo/18443879/18443879-1677204743268-df9a875654caa.jpg
iOS 26 : Mabadiliko Makubwa ya Apple Unayostahili Kujua, "iOS 26 Updates: Revolutionary Change."
SHADOTUBE
7 minutes 2 seconds
4 months ago
iOS 26 : Mabadiliko Makubwa ya Apple Unayostahili Kujua, "iOS 26 Updates: Revolutionary Change."

Swahili:

Karibu kwenye kipindi kipya cha Shadotube! Katika dakika 7 tu, utajifunza kila kitu kuhusu iOS 26 - toleo jipya la Apple ambalo linabadilisha kabisa jinsi unavyotumia iPhone yako. Nitaangalia vipengele vipya vya kushangaza, mabadiliko ya usalama, na jinsi hivi vitakuathiri wewe kama mtumiaji. Ikiwa ni mtaalamu wa teknolojia au mtu wa kawaida anayetaka kujua mambo mapya ya Apple, kipindi hiki ni chakula chako. Usiahau kusubscribe na kutusikiliza kila wiki kwa updates za teknolojia zinazofaa!

English:

Welcome to a brand new Shadotube episode! In just 7 minutes, discover everything you need to know about iOS 26 - Apple's groundbreaking update that's revolutionizing how you use your iPhone. I'll explore amazing new features, enhanced security improvements, and how these changes will impact you as a user. Whether you're a tech expert or someone who simply wants to stay updated with Apple's latest innovations, this episode is perfect for you. Don't forget to subscribe and tune in weekly for relevant tech updates that matter!