Karibu kwenye Podcast yangu! Nimeanzisha podcast hii kwa madhumuni makuu matatu muhimu: Kwanza, ni jambo ninalopenda kufanya. Pili, ni kwa lengo la kuwasaidia wengine. Tatu, ni kwaajili ya kufikia malengo makuu maishani.
Popote ulipozaliwa au kukulia, nitakusaidia kupitia ujuzi wote niliojifunza na kufundishwa na wengine. Lengo langu ni kukusaidia kutimiza mahitaji yako, mipango yako, na ndoto zako katika ulimwengu wa teknolojia - kupitia maudhui ya video na sauti yenye ubora.
Nimekuwa nikijifunza namna ya kuwasaidia wengine tangu udogo wangu, na baada ya kupitia changa moto nyigi.
All content for SHADOTUBE is the property of DENIS L. NTABULUGWA and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Karibu kwenye Podcast yangu! Nimeanzisha podcast hii kwa madhumuni makuu matatu muhimu: Kwanza, ni jambo ninalopenda kufanya. Pili, ni kwa lengo la kuwasaidia wengine. Tatu, ni kwaajili ya kufikia malengo makuu maishani.
Popote ulipozaliwa au kukulia, nitakusaidia kupitia ujuzi wote niliojifunza na kufundishwa na wengine. Lengo langu ni kukusaidia kutimiza mahitaji yako, mipango yako, na ndoto zako katika ulimwengu wa teknolojia - kupitia maudhui ya video na sauti yenye ubora.
Nimekuwa nikijifunza namna ya kuwasaidia wengine tangu udogo wangu, na baada ya kupitia changa moto nyigi.
Gundua jinsi gani una channel yako ndani ya YouTube bila kujua. Ila unaweza.
SHADOTUBE
3 minutes 56 seconds
3 years ago
Gundua jinsi gani una channel yako ndani ya YouTube bila kujua. Ila unaweza.
Kutokana na watu webgi kuongezeka ndani ya YouTube, watu wamekua na channel bila kujua. Inawezekana ukawa unajua au hujui lakini ukifuatilia video hii utagundua kitu.