Mungu amekusudia uishi maisha ya Ushindi kila siku, kupitia nguvu ya mafundisho ya Neno la Mungu, Roho na Maombi Pastor Clement Kingo anakusudia kukusaidia kuishi maisha ya Ushindi Kila Siku katika nyanja zote za maisha.
All content for Pastor Clement Kingo is the property of Clement Kingo and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Mungu amekusudia uishi maisha ya Ushindi kila siku, kupitia nguvu ya mafundisho ya Neno la Mungu, Roho na Maombi Pastor Clement Kingo anakusudia kukusaidia kuishi maisha ya Ushindi Kila Siku katika nyanja zote za maisha.
Mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kutenda, wakati wa kutenda na baada ya kutenda.
Maisha yetu Ni jumla ya matendo tunayoyatenda, matokeo tulionayo ni jumla ya matendo tuliotenda na matokeo tutakayokuwa nayo yatatokana na matendo tutakayotenda.
Pastor Clement Kingo