
Karibu tena kwenye episode nyingine, kwenye episode hii tumeongelea namna ambavyo watu mbalimbali utumia muda wao kufurahia na kushrekea siku ya Valentine, Tumezoea na tumekuwa tukisikia kuwa Valentine day ni siku ya wapendanao...!!! je ni kwanmna gani wanashrekea Mwezi huu wa pili siku ya Tarehe 14 ......? majibu yote tumekuwekea kwenye Episode hii ya leo. Karibu kusikiliza