Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
History
Fiction
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts115/v4/4a/93/f0/4a93f0fd-ba7f-e488-700e-acb7af6a55d7/mza_4863708151101694414.jpg/600x600bb.jpg
NMU PODCAST
martine
21 episodes
2 days ago
NMU PODCAST is a digital platform established essentially to present the themes in audio forms and make them available to all internet users either by downloading or listening to them online. Together with other interesting stuffs NMU podcast presents amazing contents based on analysis and interviews about entertainments, relationships, lifestyles discoveries as well as history and biographies which are then published to all famous audio platforms including the Apps You can easily access all what we release for you simply by liking and following us on our S/m media platforms @nextmusicuniverse
Show more...
Music Interviews
Music
RSS
All content for NMU PODCAST is the property of martine and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
NMU PODCAST is a digital platform established essentially to present the themes in audio forms and make them available to all internet users either by downloading or listening to them online. Together with other interesting stuffs NMU podcast presents amazing contents based on analysis and interviews about entertainments, relationships, lifestyles discoveries as well as history and biographies which are then published to all famous audio platforms including the Apps You can easily access all what we release for you simply by liking and following us on our S/m media platforms @nextmusicuniverse
Show more...
Music Interviews
Music
https://d3t3ozftmdmh3i.cloudfront.net/production/podcast_uploaded_episode/6920534/6920534-1596293604654-1960a4e2d5312.jpg
THE POWER OF STORY TELLING IN MUSIC SESSION TWO..
NMU PODCAST
30 minutes 26 seconds
5 years ago
THE POWER OF STORY TELLING IN MUSIC SESSION TWO..

Kwenye Episode hii Tumeongelea Nyimbo ambazo wasnii Nguli watatu wameweza kutumia adithi zenye ujumbe mzito na kuweza kuziweka kwenye Ngoma, Kwa namna nyingine Tunaweza kusema wasanii hawa wametumia simulizi ambazo zipo mtaani wa watu wanakumbana nazo kwenye maisha ya kawaida na wao wakaamua kuzitumiakatika Sanaa ya muziki na utunzi wenye mpangilio, hatimaye na wakatuletea ngoma au mziki unao ishi siku zote.

Kwenye part Hii ya Pili, Utaweza kusikia Namna ambavyo msanii Ferooz alivyoweza kuakisi na kusimulia Ugonjwa wa ukimwi na kuweza kuelezea na kufundisha jamii, madhara ya UKIMWI, Pia na kuweza kusambaza elimu kubwa ambayo ilikuwa Haijawafikia wengi san asana kwenye Taifa letu la Tanzania.

Tumeenda mbali Zaidi na kuona Mafanikio ya ngoma hii ambayo Feroozi alishirikiana na Professor Jay na kuweza kuacha Harama kwenye ulimwengu wa Muziki unao tumia simulizi na adithi kufikisha ujumbe.

Pia kwenye episode hii Utapata Kujua wimbo wa nikusaidieje wa Professor Jay pia ulivyotumia nguvu ya adithi na kuleta mapinduzi makubwa ya kifikira kwa wanaume, ya kwamba mwanamke bora anapatikana kijijini wala sio mjini na mambo mengine mengi.

Tumeweza kwenda mbali Zaidi na kuangalia wimbo wa msanii Diamond Platinum Wimbo wa Je Utanipenda, wimbo ambao umepata mafanikio makubwa kutokana nakile alichoweza kuakisi msanii Diamond, sana sana Kwenye upande wa kipato cha mwanaume Pale inapotokea Kutetelekakwenye uchumi na mambo kutokwenda sawa.

Kwa yote haya yameweza kuelezea na kuonesha nguvu ya adithi kwenye muziki, Endapo ikitumika na kuelezewa kwa ufasaa kabisa na Mwanamuziki au mwanafasii anaye ilisha jamii jambo la kusikika na kuweza kuleta mabadiriko.