
Kwenye Episode hii tumeongelea kwanini audio ndo utangulia kabla ya Video pale ambapo msanii anataka kuachia kazi, mala nyingi saana waga tunaona audio ndo inatangulia sana kwenye platform nyingi za mziki, kuyajua haya yote ungana nasi kwenye episode hii.