Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
History
Fiction
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts221/v4/f9/4a/b0/f94ab09c-a802-a022-448f-d6304bbab2d8/mza_17649489430173303793.png/600x600bb.jpg
Mwl. Erick’s Podcast
ericleelyimo
32 episodes
4 days ago
The word of God for an endless life of victory
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
RSS
All content for Mwl. Erick’s Podcast is the property of ericleelyimo and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
The word of God for an endless life of victory
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
https://pbcdn1.podbean.com/imglogo/ep-logo/pbblog20479140/FAITH_FOR_WARb5h3z.png
FAITH FOR WAR
Mwl. Erick’s Podcast
57 minutes 20 seconds
6 months ago
FAITH FOR WAR
FAITH FOR WARFARE Maisha yana vita na kukataa uwepo wa vita hakuondoi vitaKitachokupa faida ni kuwa tayari kwa ajili ya vita kwa Kuvaa silaha zoto za Mungu (Efeso 6:11) Adui hana nguvu ila alichonacho ni HILA (Efeso 6:11). Msingi wa Hila ni Uongo na Msingi wa Imani ni KWELI YA NENO LA MUNGU. Ngao ya Imani ndio silaha pekee ya kukukinga na mishale ya moto ya adui Ufanisi wa Ngao yako unatemea kiwango cha kweli kilichoko ndani yako (Yohana 8:32) Mungu amekuambia nini kuhusu Afya Yako, Uchumi, Familia, Watoto, n.k Maarifa ya neno uliyonanyo kuhusu maeneo mbalimbali ya Maisha yako ndio yatayokupa ulizi pale vita itapoinuka kwenye eneo lolote kweye Maisha yako kwakua unajua vita inatokana na HIla (Uongo) na Imani yako ni Imara kwakua Imejengwa Juu ya Kweli ambayo ni Neno Na Mungu. Jifunze Zaidi kwenye somo hili:
Mwl. Erick’s Podcast
The word of God for an endless life of victory