
Sehemu ya pili ya maongezi na Master Jay. Kama hujasikiliza nyimbo alizotengeneza (naamini ni vigumu), utakuwa umemuona kwenye mashindano ya kusaka vipaji
Joachim Marunda Kimaryo ni Gwiji kabisa katika tasnia ya muziki wetu
Amehusika katika Hip Hop, Bongofleva, Dansi mpaka nyimbo za Dini π
Tumepata nafasi ya kuzungumza naye na ametupa simulizi ambazo zinaweza kutumika kama chanzo rasmi cha historia za muziki wetu kuanzia mwanzo mpaka tulipo.
Jumuika nasi mezani, tusikilize PART II ya MTABE huyu wa sanaa π Karibu.
#MezaniNaMasterJay
#MezaHuru
Anchor - https://anchor.fm/meza-huru
Google podcast - https://podcasts.google.com/feed/aHR0...
Apple Podcast - https://podcasts.apple.com/us/podcast/meza-huru/id1644168683
Spotify - https://open.spotify.com/show/6Ym3U2r...
Deezer - https://www.deezer.com/en/show/4499797
Amazon music - https://music.amazon.com/podcasts/bc2...
Boomplay - https://www.boomplay.com/podcasts/32087
Castbox - https://castbox.fm/podcasts/meza-huru...
YouTube - https://www.youtube.com/channel/UCutp...
Facebook - https://www.facebook.com/MEZA-HURU-10...
Twitter - https://twitter.com/MezaHuru