
Je, nini kinaweza kutokea kwa jamii ya Watanzania wote ikiwa wanaume wataamua kushikamana na kuungana ili kuvunja dhana potofu zinazochochea unyanyasaji wa kijinsia?
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, tulishiriki mazungumzo ya wazi na wanaume na wanawake wa jiji la Mbeya, tukijadili kwa kina:
🔹 Jinsi wanaume wanavyoweza kuvunja dhana potofu 🔹 Nafasi yao katika kusaidia usawa wa kijinsia
Michael na Nadia waliungana na wakazi wa Mbeya katika mjadala uliojaa maoni, uzoefu, na suluhisho zinazoweza kuwa kichocheo cha mabadiliko tunayohitaji.
Na ujumbe wao kwako ni huu:
🔥 Mwanaume! Vunja dhana potofu, simama kwa usawa wa kijinsia! 🔥