
Wanasema ndoa ni ndoto, lakini vipi ikiwa inageuka kuwa ndoto mbaya... na unaamka mahakamani? 😬
Kuna hii dhana kwamba mwanaume asiye na pesa nyingi hana haki kwenye talaka, eti unapata tu "pole kaka" na siyo mgawanyo wa mali au haki juu ya watoto wako.Â
Lakini kweli ipo hivyo? 🤔
Katika episode hii ya Men Men Men, tunaketi na wakili Ashiru Lugwisa, anayevunja hii hoja vipande vipande na kutufundisha jinsi ya kutoachika vibaya (kama hiyo inawezekana 🤣).
Sikiliza sasa! Kwanza ujue haki zako, halafu ndio uamue kama unataka ndoa au uwe bachelor wa maisha! 😅
#MenMenMenPodcast #TalakaNaHaki #UsiachikeVibaya