All content for Maisha na mahusiano is the property of Hussein Jumanne and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Mapenzi ni nini? Kwanini tunapenda? Kwanini tunajihusisha na Mapenzi?
Yote haya yatajibiwa kwenye hii simulizi nzuri ya Mapenzi.
Mapenzi ni kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu. Watu wengi tumekua tukiteseka ama tukifurahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu tunayempenda. Simulizi hii itatupa uelewa juu mambo mengi yanayohusu mapenzi. Karibuni tujifunze pamoja.
Maisha na mahusiano
Mapenzi ni nini? Kwanini tunapenda? Kwanini tunajihusisha na Mapenzi?
Yote haya yatajibiwa kwenye hii simulizi nzuri ya Mapenzi.