All content for Maisha na mahusiano is the property of Hussein Jumanne and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Mapenzi ni nini? Kwanini tunapenda? Kwanini tunajihusisha na Mapenzi?
Yote haya yatajibiwa kwenye hii simulizi nzuri ya Mapenzi.
Erick kupaza anarudi nyumbani baada ya likizo ya majira ya joto chuoni kwao, anashuku Kubwa ya kukutana na Romantic star mwanamke aliyekutana naye kwenye mtandao wa watu wazima, je nini kitaendelea , fuatana nami mwanzo mwisho kwenye hii simulizi nzuri ya kusisimua.
Maisha na mahusiano
Mapenzi ni nini? Kwanini tunapenda? Kwanini tunajihusisha na Mapenzi?
Yote haya yatajibiwa kwenye hii simulizi nzuri ya Mapenzi.