Katika kifungu cha maandiko cha leo, mtume Paulo anafafanua kazi za mwili na tunda la Roho Mtakatifu kwa kuzitofautisha dhidi ya kila mmoja. Kwanza kabisa, Paulo anasema kwamba kazi za mwili zinaonekana, halafu anaendelea kuorodhesha kama ifuatavyo: “Uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira , fitina,faraka,uzushi, wivu, husuda,ulevi, ulafi, na mambo yafananayo na hayo. "Kisha Paulo anafafanua matunda ya Roho, akisema, "Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema fadhili,uaminifu, upole,kiasi;Juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
Show more...