All content for KaBrazen is the property of The LAM Sisterhood and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua kuhusu msichana aliyekuwa na ndoto ya kuimba. Bi Kidude aliimba kwa zaidi ya karne moja huko Zanzibar na kote kote duniani, na anatukumbusha kusikiliza kile kinachotufurahisha…kwani nyoyo zetu zinajua cha kufanya.
Tafadhali zingatia kwa makini: Miongoni mwa mada zilizopo ndoa za utotoni na dhuluma ya kimwili dhidi ya mtoto.