Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
Technology
Health & Fitness
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
Podjoint Logo
US
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts221/v4/5d/42/8f/5d428ff9-a196-b1b5-b63e-6923c9ea6bdf/mza_1682109107649738440.jpg/600x600bb.jpg
JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO?
The New Life Mission
10 episodes
3 months ago
Somo kuu la kichwa hiki ni "kuzaliwa tena upya kwa Maji na Roho." Kichwa hiki kikuu kinatokana na asili ya somo hili. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinatueleza kwa ufasaha juu ya kuzaliwa tena upya na jinsi ya kuzaliwa tena upya kwa maji na Roho kwa mujibu wa Bibilia. Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati alipobatizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji alikuwa ni mwakilishi wa wanadamu wote na wa uzao wa Kuhani Mkuu Haruni. Kuhani Mkuu Haruni aliiweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi wa kutubia makosa na kisha akazipitisha dhambi zote za mwaka mzima za Waisraeli katika huyo mbuzi wa kutubia makosa katika ile Siku ya Upatanisho. Tendo hilo ni kivuli cha mambo mazuri yajayo. Ubatizo wa Yesu ni mfano wa kuwekewa mikono. Yesu alibatizwa kwa njia ya kuwekewa mikono katika Mto Yordani. Hivyo Yesu alizichukulia mbali dhambi zote za ulimwengu kupitia ubatizo wake na alisulubiwa ili kulipa deni la dhambi hizo. Lakini Wakristo wengi hawajui ni kwa nini Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ubatizo wa Yesu ni neno kuu katika kitabu hiki, na ni sehemu ya lazima katika Injili ya Maji na Roho. Tunaweza kuzaliwa tena upya ikiwa tu tutauamini ubatizo wa Yesu na Msalaba wake.
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
RSS
All content for JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO? is the property of The New Life Mission and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Somo kuu la kichwa hiki ni "kuzaliwa tena upya kwa Maji na Roho." Kichwa hiki kikuu kinatokana na asili ya somo hili. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinatueleza kwa ufasaha juu ya kuzaliwa tena upya na jinsi ya kuzaliwa tena upya kwa maji na Roho kwa mujibu wa Bibilia. Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati alipobatizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji alikuwa ni mwakilishi wa wanadamu wote na wa uzao wa Kuhani Mkuu Haruni. Kuhani Mkuu Haruni aliiweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi wa kutubia makosa na kisha akazipitisha dhambi zote za mwaka mzima za Waisraeli katika huyo mbuzi wa kutubia makosa katika ile Siku ya Upatanisho. Tendo hilo ni kivuli cha mambo mazuri yajayo. Ubatizo wa Yesu ni mfano wa kuwekewa mikono. Yesu alibatizwa kwa njia ya kuwekewa mikono katika Mto Yordani. Hivyo Yesu alizichukulia mbali dhambi zote za ulimwengu kupitia ubatizo wake na alisulubiwa ili kulipa deni la dhambi hizo. Lakini Wakristo wengi hawajui ni kwa nini Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ubatizo wa Yesu ni neno kuu katika kitabu hiki, na ni sehemu ya lazima katika Injili ya Maji na Roho. Tunaweza kuzaliwa tena upya ikiwa tu tutauamini ubatizo wa Yesu na Msalaba wake.
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts221/v4/5d/42/8f/5d428ff9-a196-b1b5-b63e-6923c9ea6bdf/mza_1682109107649738440.jpg/600x600bb.jpg
2. Wanadamu Huzaliwa Wakiwa ni Wenye Dhambi (Marko 7:20-23)
JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO?
20 minutes 33 seconds
2 years ago
2. Wanadamu Huzaliwa Wakiwa ni Wenye Dhambi (Marko 7:20-23)
Kabla sijaendelea, ningependa kukuuliza swali. Wewe unaonaje kuhusu wewe mwenyewe? Je, unafikiri wewe ni mzuri sana au mbaya sana? unafikiri nini? Watu wote wanaishi chini ya udanganyifu wao wenyewe. Labda wewe sio mbaya kama unavyofikiria, na sio mzuri kama vile unavyofikiria. Kwa hiyo unadhani nani ataongoza maisha bora ya kidini? Je, itakuwa wale wanaojiona kuwa wazuri au wale wanaojiona kuwa wabaya? Ni ya pili. Kwa hiyo, ni nani ana uwezekano mkubwa wa kuokolewa: wale ambao wamefanya dhambi nyingi au wale ambao wamefanya dhambi chache? Wale walio na dhambi nyingi wana uwezekano mkubwa wa kukombolewa kwa sababu wanajijua wenyewe kuwa wenye dhambi. Wanaweza kukubali vyema zaidi ukombozi uliotayarishwa kwa ajili yao na Yesu.   https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35