
Wapendwa wasikilizaji wetu wa kipindi chetu pendwa cha JAMVI LA MAHABA karibu tena tuyajenge. Wapendwa wasikilizaji wetu , wana JAMVI leo kwenye episode hii tunangumzia sababu zinazopelekea mtu au watu kupigana katika mahusiano au ndoa na nini hasa kifanyike katika harakati za kukemea kitendo kama hiki. Usiache kusubscribe na kuacha comment yako . Lakini pia unaweza kujiunga nasi katika social media zetu Instagram : jamvilamahaba Facebook: jamvi la mahaba youtube : jamvi la mahaba https://youtu.be/U0tEHcAARaw
Tuachie comment, like , share na pia tuachie ujumbe ili tuweze kuusoma hapa hapa katika kipindi kijacho. Tutumie ujumbe wa SMS kupitia number : 0653672399 Karibu sana na Tunawapenda!!!!