Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
History
Fiction
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts124/v4/e9/92/8d/e9928d0a-69f4-0bdb-29e4-aeb8d2b634aa/mza_9329488798343626783.jpg/600x600bb.jpg
Jamvi la Mahaba
Jahazi la Mahaba
11 episodes
2 days ago
Tunakukaribisha sana kwenye Jamvi letu matata la mahaba. Hii ni trailer tu , tunakulete full episodes hivi karibuni. Tunaomba SUBSCRIBE au JIUNGE na KUSHARE uweze kuwa wa kwanza kutusikiliza na pia kuwapa ndugu, jamaa na marafiki nafasi ya kung'arisha mahusiano yao . Kumbuka kuna zawadi nono kwa watu 10 wa kwanza kusubscribe . Tunapatikana pia YouTube kwa jina hili hili Jamvi la Mahaba Unaweza pia kutupata kwa namba ya simu 0653672399 Social Media : Facebook , Instagram na Youtube kote jina ni @jamvilamahaba Tunakupenda Sana!
Show more...
Relationships
Society & Culture
RSS
All content for Jamvi la Mahaba is the property of Jahazi la Mahaba and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Tunakukaribisha sana kwenye Jamvi letu matata la mahaba. Hii ni trailer tu , tunakulete full episodes hivi karibuni. Tunaomba SUBSCRIBE au JIUNGE na KUSHARE uweze kuwa wa kwanza kutusikiliza na pia kuwapa ndugu, jamaa na marafiki nafasi ya kung'arisha mahusiano yao . Kumbuka kuna zawadi nono kwa watu 10 wa kwanza kusubscribe . Tunapatikana pia YouTube kwa jina hili hili Jamvi la Mahaba Unaweza pia kutupata kwa namba ya simu 0653672399 Social Media : Facebook , Instagram na Youtube kote jina ni @jamvilamahaba Tunakupenda Sana!
Show more...
Relationships
Society & Culture
https://d3t3ozftmdmh3i.cloudfront.net/production/podcast_uploaded_episode/6841998/6841998-1595102449100-ab650ae6b004.jpg
Je ni sawa kumsimulia mpenzi wako mpya historia ya mahusiao yako ya zamani ?
Jamvi la Mahaba
26 minutes 37 seconds
5 years ago
Je ni sawa kumsimulia mpenzi wako mpya historia ya mahusiao yako ya zamani ?

Wapendwa wasikilizaji wetu wa kipindi chetu pendwa cha JAMVI LA MAHABA karibu tena tuyajenge. Wapendwa wasikilizaji wetu , wana JAMVI mada iliyopo mezani leo ni JE NI SAWA KUMSIMULIA MPENZI WAKO MPYA HISTORIA YA MAHUSIANO YAKO YA ZAMANI? (tulifanya hivi, alikuwa anapenda hivi, nilimuacha kwa sababu hii, nilimpendea hiki , alikuwa anapendelea style hii etc) .

Jiunge nasi, usiache kusubscribe na kuacha comment yako . 

Lakini pia unaweza kujiunga nasi katika social media zetu  Instagram : jamvilamahaba Facebook: jamvi la mahaba youtube : jamvi la mahaba https://youtu.be/U0tEHcAARaw

Tuachie comment, like , share na pia tuachie ujumbe ili tuweze kuusoma hapa hapa katika kipindi kijacho. Tutumie ujumbe wa SMS kupitia number : 0653672399 Karibu sana na Tunawapenda!!!!

Kwa couples zetu za week iliyopita jamni tunawapa hongera sana.

Msikilizaji kama wewe unatafuta bebe, mwenza, kipenzi , huba basi tutumie SMS 0653672399 tuelezee vigezo unavyovitamani na sisi tutawakilisha.