All content for JADI YETU is the property of SHIMKIATA LUBUNGA and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Elewa nini maana ya MZIMU na MIZUKA, niroho za watu waliokwisha fariki. Watu hao kama Walikufa haliyakuwa ni wema basi roho zao huitwa MZIMU, na kama watu hao walikufa haliyakuwa ni watenda mabaya basi rohozao ni MIZUKA
Dini zingekua mfumo wa Mungu kwanza zenyewe zingekuwa zinaelewana pia hazifanyi watu kuwa wamoja kiutu. JADI ndio msingi wa watu wote, asili zote duniani na tamaduni zote duniani kupata usahihi wa MUNGU