All content for HATUA 6 ZA SAFARI KUELEKEA KATIKA BIASHARA INAYOJIENDESHA YENYEWE is the property of Azhar Juma and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Hatua 6 za Safari kuelekea kwenye biashara inayojiendesha
MTU MWENYE BIASHARA INAYOMUINGIZIA KIPATO KISICHOJITOSHELEZA LAKINI BIASHARA INAKUA-( Aina ya tatu)
HATUA 6 ZA SAFARI KUELEKEA KATIKA BIASHARA INAYOJIENDESHA YENYEWE
8 minutes 28 seconds
5 years ago
MTU MWENYE BIASHARA INAYOMUINGIZIA KIPATO KISICHOJITOSHELEZA LAKINI BIASHARA INAKUA-( Aina ya tatu)
Je huyu biashara yake ipoje kimapato?. 1. Biashara inaingiza faida 2. Matumizi ya mwenyewe biashara ni makubwa kuliko faida anayoingiza. 3. Tofauti na ile aina ya pili, hii ni biashara ina uwezo wa kuongeza wateja, mauzo na faida hatimaye kuifanya faida yake kuwa kubwa na kutosheleza matumizi binafsi.
HATUA 6 ZA SAFARI KUELEKEA KATIKA BIASHARA INAYOJIENDESHA YENYEWE
Hatua 6 za Safari kuelekea kwenye biashara inayojiendesha