Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
History
Fiction
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts126/v4/a9/42/91/a94291df-c493-d369-d50f-e631f56be3aa/mza_14553673028658032660.jpg/600x600bb.jpg
FPLTZ Podcast
FPL Tanzania
23 episodes
2 days ago
FPLTZ Podcast ni podcast inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi kila Jumanne. Tutakuwa tunaongelea kila kitu kuhusu huu mchezo wa Fantasy Premier League. Tutakuwa tunazungumzia kila kitu kuanzia wachezaji wa kununua, kuuza, na kubakiza kwenye team
Show more...
Soccer
Sports
RSS
All content for FPLTZ Podcast is the property of FPL Tanzania and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
FPLTZ Podcast ni podcast inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi kila Jumanne. Tutakuwa tunaongelea kila kitu kuhusu huu mchezo wa Fantasy Premier League. Tutakuwa tunazungumzia kila kitu kuanzia wachezaji wa kununua, kuuza, na kubakiza kwenye team
Show more...
Soccer
Sports
https://d3t3ozftmdmh3i.cloudfront.net/production/podcast_uploaded_nologo400/19513945/19513945-1637330318790-e455a4a0f00b4.jpg
Meet the FPL Manager - Edgar Ngemera | Top 10k | FPL Tanzania
FPLTZ Podcast
30 minutes 45 seconds
3 years ago
Meet the FPL Manager - Edgar Ngemera | Top 10k | FPL Tanzania

Kwenye episode hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Edgar Ngemera.

Manager Edgar ana record nzuri sana ya kuwahi kumaliza ndani ya top 10k, mbali na hilo amekua manager mwenye consistency na style amazing ya kucheza FPL. Ungana nasi katika mahojiano haya mafupi kupata kumsikia akielezea approach yake iliyompatia mafanikio toka aanze kushiriki Fantasy Premier League.

FPL Manager profile:

Team name: edi Squad

Top Rank: 9k

About Us:

FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage FPL teams). New episode ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!

Support Us:

https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania

Follow our accounts on:

https://twitter.com/fpltanzania

https://twitter.com/mkali_1

https://twitter.com/ericbaisi

Code ya “FPL TANZANIA” mini league ni alsp78