Podcast hii inatoa elimu ya mambo yanayohusu maisha ya ughaibuni (nje ya nchi, overseas life), upatikanaji wa udhamini wa elimu ya juu (scholarships), uandishi wa vitabu na kuuza kwenye mitandao kama Amazon, Barnes and Norbles nk. Na pia jinsi ya kupambana na maisha na kufanikiwa
Kuachilia kutoa elimu hii, tutakuwa tunafanya mahojiano na watu mbalimbali ambao watakuwa wanatoa uzoefu wao, changamoto na mafanikio waliyofikia. Hii italeta hamasa kwa wengine kufuata njia zao na kufanikiwa.
Ernest B. Makulilo
Missouri, USA
All content for EBM SWAHILI is the property of ERNEST B. MAKULILO and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Podcast hii inatoa elimu ya mambo yanayohusu maisha ya ughaibuni (nje ya nchi, overseas life), upatikanaji wa udhamini wa elimu ya juu (scholarships), uandishi wa vitabu na kuuza kwenye mitandao kama Amazon, Barnes and Norbles nk. Na pia jinsi ya kupambana na maisha na kufanikiwa
Kuachilia kutoa elimu hii, tutakuwa tunafanya mahojiano na watu mbalimbali ambao watakuwa wanatoa uzoefu wao, changamoto na mafanikio waliyofikia. Hii italeta hamasa kwa wengine kufuata njia zao na kufanikiwa.
Ernest B. Makulilo
Missouri, USA
Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake
EBM SWAHILI