
Mary Rusimbi Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Nendiwe Feminist Wellness and Coaching Center
Kutana na Mary Rusimbi Gwiji na Mtaalam wa Jinsia na Bajeti za Jinsia Tanzania, Mmoja wa waanzilishi/Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(Tanzania Gender Networking Programme) TGNP
Mvumbuzi, Mbunifu, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kwanza wa Mfuko pekee wa Ruzuku kwa wanawake Tanzania – Tanzania Women Fund (Women Fund Tanzania Trust) mfuko wa kwanza wa Kifeministi wa Kitaifa wa ruzuku wenye ajenda ya kuwekeza katika rasilimali kwa wanawake , wasichana na haki za Watoto Tanzania.
Je unajua Tanzania ilikua nchi ya tatu Afrika katika mafanikio ya kutengeneza bajeti za Kijinsia?
Na ilikuwa imefanikiwa na kwenda kwa kasi kubwa kuongeza usawa wa jinsia kwenye mapendekezo ya katiba mpya pamoja na kuongeza asilimia 50 ya wanawake katika uongozi.
Usawa wa jinsia unawezekana kwa kuendeleza harakati zilizoanzishwa sio kufautilia mipango na malengo ya jumla yanarudisha nyuma maendeleo
https://tgnp.or.tz/
Follow us on
Twitter: @discoverAfrDATT
Instagram:@discoverAfrDATT
Facebook:discoverAfrDATT
LinkedIn:@discoverAfrDATT
Email: discoveringafricaDATT@gmail.com