
Karibu kwenye Kipindi Maalum cha Firechat Podcast! Katika kipindi hiki, tunachambua kwa undani masuala ya mikopo ya elimu ya juu. Dkt. Bill Kiwia, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), anajiunga na Masoud Kipanya kwa mjadala wa kina kuhusu changamoto zinazowakabili wanafunzi na fursa zinazoweza kubadili maisha yao. Usikose! #FirechatPodcast #MikopoElimuYaJuu #HESLB #Creditinfo