Hii ni Podcast ambayo inakufundisha jinsi ya kutumia fursa ya network marketing business (biashara Ya mtandao) na internet (mitandao ya kijamii) kutengeneza faida ya milioni kwa mwezi.
All content for Coach Aifa is the property of Coach Aifa and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Hii ni Podcast ambayo inakufundisha jinsi ya kutumia fursa ya network marketing business (biashara Ya mtandao) na internet (mitandao ya kijamii) kutengeneza faida ya milioni kwa mwezi.
23-Mambo makuu matatu ya kuzingatia kupata pesa katika social media
Coach Aifa
5 minutes 40 seconds
5 years ago
23-Mambo makuu matatu ya kuzingatia kupata pesa katika social media
1.JE UNA WAZO LA BIASHARA ?๐
____________________________
2.JE UNA MTAJI (PESA) ILA BADO HAUJUI NI BIASHARA GANI UFANYE? โ๏ธ
____________________________
3.PENGINE LABDA HUNAย MTAJI (PESA) ILA UNA WAZO LA BIASHARA?๐คท๐ฟโโ๏ธ
๐งโ๐ฆโ๐ธโ๐ฎKWETU ENDELEVU CAMPAIGN, - ๐ ฆ๐ ๐ ฆ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ข๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ฆ๐ ๐ ๐ ๐ ค๐ ข๐ ๐ ๐ ๐ ๐
.
๐โโโโโโโโ
๐ Moja ya Sababu kubwa ya Biashara nyingi Kushindwa Kufanikiwa ni Kwasasabu ya Kutokuwa na Mpango kazi Maalum. Kuna Wengine wanao lakini ni Mbovu au haukidhi mahitaji nikiwa na maana kwamba wewe una kila sababu ya kupata huduma sahihi kutoka kwa watu sahihi.
.
๐โโโโโโโโ
๐ Karibu na jiunge nasi ENDELEVU CAMPAIGN Tukuhudumie, Tukuandalie Business WOKPLAN nzuri na yenye Mvuto itayoweza Kukuza Soko lako na kukufanya uaminike Katika Uwanja wa Biashara na hii itapelekea Hata kushawishi watu wapya (partners) waweze kukuamini na kufanya kazi pamoja Sasa na baadae.
.
๐โโโโโโโโ
๐ Kama haufahamu Mpango kazi wa Kibiashara maana yake nini basi Ngoja nikujuze kidogo. Mpango wa Biashara ni Andalio rasmi Linalokuwa katika mfumo wa Maandishi ambapo huonyesha Uendeshaji mzima wa Biashara yako Kuanzia Mwanzo mpaka Kufanikiwa kwake.
.
๐โโโโโโโโ
๐ Business Plan Hii inahusisha Kueleza Namna Utavyopata Fedha kwa ajili ya Kuanzisha Biashara yako, namna utavyowashinda washindani wako, Namna utakavyofanya kazi Asubuhi mpaka Jioni pia Mambo Mengine yanayo Elezwa katika Business Plan ni Utofauti wa Huduma au Bidhaa zako na za watu wengine na Umuhimu wa Uwepo wa Biashara au Huduma yako sokoni.
.
๐โโโโโโโโ
โซPia tunatoa huduma hizi:-
.
๐๐ฟ Tunatoa Ushauri na Kukusaidia Kupanga Malengo ya Biashara yako.
.
FIKA OFISINI KWETU MIKOCHENI JILANI NA FEZA DAR ES SALAAM.
โซ Kwa Gharama Nafuu kabisa Unaweza kuwasiliana Nasi kupitia:-
.
.
โ๏ธ+255 785 168 759 WhatsApp/text/call