All content for Chahali Podcast is the property of Evarist Chahali and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Lissu Akataa Ofa ya Serikali Ahamie Ughaibuni Kesi Ifutwe
Chahali Podcast
12 minutes 24 seconds
1 week ago
Lissu Akataa Ofa ya Serikali Ahamie Ughaibuni Kesi Ifutwe
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu amekataa ofa ya serikali kwamba akubali kwenda kuishi uhamishoni kama sharti la kumfutia kesi ya uhaini waliyombambikia.