
🌍 #BongoBilaBorders Ep. 4 iko hewani! 🔥 Katika kipindi hiki tunazungumzia lugha na mawasiliano— nguzo kuu zinazotuunganisha, kutufundisha, na kutuvusha mipaka ya tamaduni na mataifa. Je, lugha imeshawahi kuwa daraja au kizuizi katika safari yako ya maisha? Tushirikishe!
💬 Tunaangazia namna ya kuwasiliana kwa ufanisi katika mazingira mapya, changamoto za lugha ya pili, na nafasi ya utambulisho kupitia maneno.
👇 Tuambie kwenye comments:
1️⃣ Umewahi kupitia changamoto ya lugha ugenini?
2️⃣ Ni lugha gani mpya umejifunza au ungependa kujifunza?
3️⃣ Ungependa kuwa mgeni kwenye kipindi chetu?
#BongoBilaBorders #LughaNaMawasiliano #MabaloziWaKiswahili #SwahiliPodcast #GlobalVoices #Sautizadunia #bongo #tanzania #eastafrica #international #kimataifa #mazungumzo #lugha #mawasiliano