
Karibu kwenye Episode ya pili ya Bongo Bila Borders Podcast! ποΈβ¨
Tunajadili kuhusu "Familia na Desturi" π¨βπ©βπ§βπ¦πΏ β umuhimu wa familia na mila zinazotufanya tukae pamoja na kuendeleza urithi wetu. π‘β¨
Usikose kujifunza kutokana na mazungumzo haya na kushiriki nasi! ππ€
#BongoBilaBorders #FamiliaNaDesturi #Podcast