
π§ "Ukiumia Kimoyoni, Unasema au Unanyamaza?"
Episode mpya imetoka! Sasa inapatikana kwenye Spotify na Apple Podcasts β tafuta "Bongo Bila Borders" au tumia Linktree kwenye bio.
Katika episode hii maalum kwa ushirikiano na @mambo_vipiinitiative kupitia kampeni ya #MwanumeNiMtu, tunazungumza kwa undani kuhusu afya ya akili kwa wanaume nchini Tanzania na Afrika Mashariki. Tunaangazia:
πΉ Aibu na unyamavu wanaume wanapopitia changamoto za kiakili
πΉ Tofauti ya mitazamo kati ya Afrika na Marekani
πΉ Kazi muhimu ya @myafyaprofile na huduma mpya ya mental health hotline
π§ Hili si suala la wanaume pekee β wanawake, pia tunayo nafasi ya kusaidia.
π¬ Sikiliza, jifunze, na shiriki.
π Episode tayari hewani β usikose!
π£ Taga mtu ambaye anapaswa kusikia hii.
π₯ #MwanumeNiMtu sio udhaifu β ni ujasiri.