All content for A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession. is the property of MWALIMU WA NENO UFOO KASSA GEORGE and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Be Strong I Every Area of Your Life & Spread Love.
SOMOLAKWANZA:- CONTACTS WATSAPP: 0758600428. UTAKASOUTAKASO. NJAA NA KIU YA KUONA MATENDO YA MUNGU.
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
23 minutes 5 seconds
4 years ago
SOMOLAKWANZA:- CONTACTS WATSAPP: 0758600428. UTAKASOUTAKASO. NJAA NA KIU YA KUONA MATENDO YA MUNGU.
CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. UNA AMANI NA FURAHA YA MUNGU ISIYOTEGEMEA KITU KIZURI AMA KIBAYA KINACHOENDELEA KWENYE MAISHA YAKO? ILI KUTOKOMEZA NA KUKOMESHA KABISA MICHEPUKO KWENYE NDOA HUDUMA YA MATENGENEZO INAANZA NA MIMI NA WEWE AMBAO NI WANAWAKE.
LUKA 6:
41 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
42 Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako.
NI RAHISI SANA KUONA MAPUNGUFU YA WATU WENGINE BILA KUONA YAKO BINAFSI.
WATU TUNAPENDA KUJIONA KUWA NI WAKAMILIFU (PREFECT) NA HATUTAKI KUAMBIWA UKWELI, KWA KUWA UKWELI UNACHOMA SANA NAFSI, NA NI KINYUME NA JINSI TUNAJIONA NA KUAMINI TUKO!
SIKILIZA SAUTI ππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎ
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
Be Strong I Every Area of Your Life & Spread Love.