All content for A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession. is the property of MWALIMU WA NENO UFOO KASSA GEORGE and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Be Strong I Every Area of Your Life & Spread Love.
SOMOLAKUMINASITA: CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. NAFASI ALIYOKALIA SHETANI AKIONDOKA LAZIMA UIJAZE.
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
17 minutes 6 seconds
4 years ago
SOMOLAKUMINASITA: CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. NAFASI ALIYOKALIA SHETANI AKIONDOKA LAZIMA UIJAZE.
CONTACT ME WATSAPP: 0758600428. MWALIMU WAKO UFOO KASSA GEORGE. KESI YA MAFUNZO LOVENESS STORY. MITHALI 24: 3 Nyumba hujengwa kwa hekima, Na kwa ufahamu huthibitika,
4 Na kwa maarifa vyumba vyake hujazwa Vitu vyote vya thamani na vya kupendeza.
5 Mtu mwenye hekima ana nguvu; Naam, mtu wa maarifa huongeza uwezo;
6 Maana kwa mashauri ya akili utafanya vita; Na kwa wingi wa washauri huja wokovu. MATHAYO 12: 43 Pepo mchafu, amtokapo mtu, hupitia mahali pasipo maji, akitafuta mahali pa kupumzika, asipate.
44 Halafu husema, Nitarudi nyumbani kwangu nilikotoka; hata akija, aiona tupu, imefagiwa, na kupambwa.
45 Mara huenda, akachukua pamoja naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo; na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kibaya.
A life well lived Spiritually, Health, Realatinships and being Rich is a Treasured Possession.
Be Strong I Every Area of Your Life & Spread Love.